Na John Stephen, WAMJW – Dar es Salaam
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wataalam wa afya kuendelea kutibu watu wenye magonjwa mengine kama vile matatizo ya moyo na figo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Covid-19.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kuitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwaona wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa kupandikiza mishipa kwa wagonjwa wenye matatizo ya moyo.
Dkt. Ndugulile amesema pamoja na kuwapo kwa maambukizi ya ugonjwa wa Co...
Read More