Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na wawakilishi wa Makampuni ya Upangaji, Upimaji pamoja na Watendaji wa Sekta ya Ardhi nchini wakati wa kikao kilichofanyika jijini Dodoma Agosti 17, 2021.
Na Munir Shemweta, DODOMA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza kupunguzwa gharama za urasimishaji makazi holela kutoka shilingi 150,000 hadi 130,000 na kusema kila mmiliki wa ardhi anayeishi mjini sasa lazima awe na hati.
Aidha, Waziri Lukuvi alisema wananchi wasio na uwezo...
Read More