Waziri wa Kilimo, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akiongoza mazungumzo wakati akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Wilmar Tanzania, Sachin Suman katika ofisi za Wizara ya Kilimo zilizopo katika eneo la TAZARA Jijini Dar es salaam, jana tarehe 2 Septemba 2021.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda leo Septemba 2, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Wilmar Tanzania, Sachin Suman katika ofisi za Wizara ya Kilimo zilizopo katika eneo la Tazara Jij...
Read More