Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Juma Kijavala wakati alipofika majira ya usiku kukagua utendaji kazi wa Bandari hiyo.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amezitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Kitengo cha kuhudumia Makasha (TICTS), kujipanga vyema na kuongeza idadi ya watu katika usimamizi wa shughuli zote za upakiaji na upakuaji wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam.
Prof. Mbarawa am...
Read More