Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akimzungumza na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (TAFF) pamoja na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira huo (Tembo warriors), Frank Ngailo kwa ajili ya kumuaga mchezaji huyo anayeenda nchini Uturuki kufanya majaribio katika klabu ya Izmir BSB
Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya M...
Read More