Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Lawrance Mafuru, akizungumza wakati wa kikao na Wizara na Idara mbalimbali zinazojitegemea zinazokusanya maduhuli ya Serikali yasiyo kodi kilichoangazia njia bora za kusaidia katika kuongeza makusanyo ya maduhuli ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023, jijini Dodoma. Kushoto ni Kamishna wa Idara ya Sera, Bw. Elijah Mwandumbya.
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango anayesimamia masuala ya Sera, Bw. Lawrence Mafuru, amezitaka Wizara na Idara zinazojitegem...
Read More