Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na washiriki wakati akifungua Warsha ya Umoja wa Mataifa kuhusu tathmini ya usimamizi wa mazingira ya Bahari inayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere uliopo Jijini Dar es salaam leo tarehe 19 Julai, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 19 Julai, 2022 amefungua warsha ya Umoja wa Mataifa kuhusu tathmini, usimamizi na utunzaji wamazingira ya Bahari, warsha inayofanyika katik...
Read More