Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa Sherehe za kumuweka wakfu Askofu wa tatu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa, Rev. George Chiteto iliyofanyika Jijini Dodoma.
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Wakristo nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo, kuchangia pato la Taifa na kutatua changamoto zilizo katika maeneo yao.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene wakati akizunguma k...
Read More