Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu),. Kaspar Mmuya akizungumza wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza ilipotembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani Morogoro.
Na Mwandishi Wetu – Morogoro
Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Masuala ya UKIMWI, Kifua Kikuu , Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unao...
Read More