Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwasili nchini Kenya kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Mhe.William Ruto unaofanyika leo katika Uwanja wa Karasani.
Na Mwandishi Wetu, Nairobi-Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemhakikishia Rais mpya wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto kuwa Tanzania itaendeleza ushirikiano wa karibu zaidi na nchi hiyo ili kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi baina ya nchi hizo...
Read More