Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kutekeleza Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA) ambapo vijiji vilivyounganishiwa umeme nchini vimeongezeka kutoka vijiji 2,118 mwaka 2015 hadi vijiji 9,001 mwezi Machi 2020.
Amesema kuwa jumla yataasisi 11,128 zikiwemo za elimu, afya, dini, mashine za kusukuma maji na huduma za biashara zimenufaika na mradi, hivyo mafanikio hayo pamoja na mengine makubwa yaliyopatikandani ya kipindi cha takriban miaka mitano yamesaidia kuimarisha hali ya kiuchumi wa Taifa na kijamii kwa ujumla....
Read More