[caption id="attachment_22377" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni , Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga wakiangalia Jiwe la Msingi. Wengine ni Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini Mhandisi Irene Muloni na Viongozi mbalimbali.[/caption]
Na: Asteria Muhozya, Hoima
Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kukubali kutumia barabara zake kwa ajili ya Ujenzi wa Mr...
Read More