Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akizindua kanuni za sheria ya uongozi wa hospitali za watu binafsi katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk Otilia Gowele na Kulia ni Msajili wa Hospitali Binafsi Dkt.Pamela Sawa.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt.Faustine Ndugulile akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF leo Jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Katibu...
Read More