[caption id="attachment_31107" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam[/caption]
[caption id="attachment_31108" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),Dk. Ta...
Read More