Na Tiganya Vincent - Tabora
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameipongeza Wilaya ya Urambo kwa utekelezaji mzuri wa mpango wa Malipo kwa Ufanisi (RBF) ambao umesaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Alisema baadhi ya Zahanati , Vituo vya Afya na Hospitali ya Wilaya ya Urambo imetumia fedha kwa ajili ya upanuzi wa baadhi ya majengo na uboreshaji wa miundo mbinu jambo ambalo limewasaidia wananchi kupata huduma nzuri, bora na katika mazingira yanayovutia.
Pongezi hizo zilitolewa jana waka...
Read More