Na; Frank Mvungi
Mfumuko wa Bei kwa mwezi Septemba, 2018 umefikia asilimia 3.4 kutoka asilimia 3.3 kwa mwaka unaoishia mwezi Agosti, 2018 ambapo Tanzania imeendelea kuwa na kiwango kizuri cha mfumuko wa bei ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.
Akizungumza leo Jijini Dodoma, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa pamoja na ongezeko hilo dogo Tanzania bado inafanya vizuri ambapo kiwango chake cha kasi ya kupanda kwa bei kiko chini ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki.
Akieleza sab...
Read More