[caption id="attachment_39564" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mzeee Ali Hassan Mwinyi alipofika nyumbani kwake Maisara Zanzibar , kumtembelea na kumjulia hali leo 8-1-2019.[/caption]
[caption id="attachment_39565" align="aligncenter" width="750"] Rais Mstaaf wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo wakati al...
Read More