[caption id="attachment_47491" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Styden Rwebangira (katikati), akizungumza jambo wakati Bodi hiyo ilipokutana na mkandarasi anayetekeleza mradi wa umeme vijijini mkoani Tabora (hayupo pichani). Kulia ni mjumbe wa Bodi, Luis Accarro na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka REA, Mhandisi Jones Olotu, Oktoba 2, 2019.[/caption]
Na: Veronica Simba – Tabora
Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijij...
Read More