Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha maombolezo alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuaga mwili wa Marehemu Balozi Paul Rupia, katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es Salaam Septemba 23, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua mchango mkubwa uliotolewa na marehemu Balozi Paul Rupia wakati wa utumishi wake na hata baada ya kustaafu.
“Moja ya jambo ambalo halitasahaulika ni uthubutu wake wa kuanzisha Benki ya Watu wa Dar es Salaam (DCB) ambayo alikuwa Mwenyekiti wake na hadi anaon...
Read More