Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Japan Tobacco International (JTI), Bw. Masamichi Terabatake baada ya kikao kilichofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26. 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake kwenye kikao kilichofanyika katika ofisi za Japan Tobacco International (JTI) zilizopo Kamiacho jijini Tokyo Japan, Septemba 26. 2022. Kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Bw. Takash...
Read More