Na Beatrice Lyimo - MAELEZO, Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya Dkt. Zainab Chaula amewaasa watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi, uwajibikaji na uadilifu kwa maendeleo ya taifa.
Dkt. Chaula ameyasema hayo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya siku nane ya Mfumo wa Kielektroniki wa Kuandaa Mipango, Bajeti na Ripoti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) iliyoboreshwa leo mjini Dodoma.
“Nina imani kila mtu kwa nafasi aliyonayo anatakiwa kutimiza wajibu wake kufanya kazi kwa weledi na uwaj...
Read More