Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa salaamu za pole za Serikali na Wizara yake leo Jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa Mkuu wa Wilaya mstaafu na Mwanahabari Marehemu Muhingo Rweyemamu aliefariki Septemba 2 mwaka huu katika hospitali ya Agha Khan.
Na Shamimu Nyaki-WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa Mkuu wa Wilaya mstaafu na Mwanahabari, marehemu Muhingo Rweyemamu aliyefariki Septemba 2 mwaka huu...
Read More