[caption id="attachment_12388" align="aligncenter" width="768"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. Katikati ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.[/caption]
Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma.
Asilimia 80 ya Madini ya Tanzanite yanayochimbwa nchini hutoroshwa nje ya nchi kwa njia ya magendo na asilimia 20 tu ndiyo inayoingizwa katika mfumo wa kodi.
Hayo yame...
Read More