Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajeed Nsekela wakati akifungua Maabara katika Skuli Kizimkazi, Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maabara katika Skuli ya Kizimkazi Zanzibar tarehe 02 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kufungua Ofisi za Kizimkazi Saccos Mkunguni, Zanzibar 02 Septem...
Read More