Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa Dunia unaojadili Program ya Afrika ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Africa Adaptation Summit) unaofanyika Rotterdam, Uholanzi tarehe 5/9/2022. Waziri Makamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano huo.
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwenye mkutano wa Viongozi wa Dunia unaojadili Program ya Afrika ya kukabi...
Read More