Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA
Serikali imewasilisha Mkataba wa Kimataifa wa Mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
Akiwasilisha Mkataba huo kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Tanzania na Uganda ni wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo malengo yake ni pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi wanachama kwenye maeneo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii kiteknolojia , utafiti, uli...
Read More