Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bw. Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA aliyemteua hivi karibuni, hafla hiyo imefanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Hati ya kiapo, Ali Abdalla Ali mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA, hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma...
Read More