[caption id="attachment_13417" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Petro Lyatuu akiangalia baadhi ya bidhaa toka kwa Wajasiriamali katika banda la Watanzania mjini Kampala wakati wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) linaloendelea mjini Kampala nchini Uganda 13 Septemba, 2017.[/caption]
Na Benedict Liwenga-WHUSM, Kampala, Uganda.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Bibi Leah Kihimbi amesema kwamba, Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrik...
Read More