Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakati wa ufunguzi wa semina ya uelewa wa Kanuni mpya ya mafao ya pensheni iliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF, Septemba 15, 2022, jijini Dodoma.
Na: Mwandishi Wetu - Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kut...
Read More