[caption id="attachment_14294" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akiongea na Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Viongozi toka Wizarani pamoja na Wadau wa soka wakati alipotembelea ofisi za Shirikisho hilo kujionea namna wanavyotekeleza majukumu yao katika kuleta maendeleo katika soka 18 Septemba, 2017 Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Benedict Liwenga-WHUSM.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura amelip...
Read More