[caption id="attachment_45936" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa, akipata maelezo kuhusu ya Reli ya Kisasa kutoka kwa Afisa Habari wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania(TRC) katika maonesho ya Wiki ya Viwanda SADC, yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa.[/caption]
[caption id="attachment_45935" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Kassim Majaliwa, akianga...
Read More