Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Uzinduzi wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.
Muonekano wa jengo la ofisi ya Makao Makuu ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alilizindua jijini Dodoma, Agosti 12, 2022.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza akimuwakilisha Rais wa Ja...
Read More