Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA)
Anitha Jonas – COSOTA, Dar es Salaam,
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ameiagiza Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) ndani ya wiki moja kufanya kikao cha kuwapitisha wadau marekebisho ya Kanuni ya Leseni Utangazaji na Maonesho kwa Umma ya mwaka 2003 ili kupata maoni yao.
Mhe. Bashungwa ametoa agizo hilo leo Agosti 08, 2021 Jijini Dar es Sala...
Read More