Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kamisheni ya kudhibiti Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi wa Mkutano, Hoteli ya Nashera Jijini Dodoma.
Na. Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) kusimamia ipasavyo mikakati ya kukabili maambukizi ma...
Read More