Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akibofya kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Muonekano Mpya wa Gazeti la Michezo la Mwanaspoti Jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni baadhi ya Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Uchapishaji Magazeti ya Mwananchi Communications Ltd (MCL).
Na. Benedict Liwemba-WHUSM
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameipongeza Kampuni ya Uchapishaji Magazeti ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa jitihada kubwa wanazozifanya ka...
Read More