*Waziri Mkuu asema hadi Julai 30 wakulima wote watakuwa wamelipwa
Na Mwandishi Wetu
ZAO la pamba ni miongoni mwa mazao makuu ya biashara hapa nchini yakiwemo ya korosho, chai, tumbaku, katani na chikichi ambayo yamekuwa yakitegemewa katika kuinua uchumi wa wakulima na Taifa kwa ujumla.
Hivi karibuni kumetokea hali ya sintofahamu kuhusiana na suala ununuzi wa zao hilo baada ya kutangazwa kwa bei elekezi ambayo ni sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo.
Bei elekezi ya pamba kwa msimu huu ilitangazwa Aprili 30, 2019 mk...
Read More