[caption id="attachment_45474" align="aligncenter" width="1000"] Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Massawe akizungumza na Wakurungenzi wa Taasisi zilizopo chini ya ofisi hiyo walipokutana kujadili maeneo ya ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka wa fedha 2019 – 2020.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Andrew Massawe amekutana na Wakurugenzi wa Taasisi zilizopo chini ya ofisi hiyo kwa lengo la kujadili kwa k...
Read More