[caption id="attachment_5212" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA).[/caption]
[caption id="attachment_5215" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Viongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiwa katika kikao cha siku moja, kilichozungumzia...
Read More