Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa pili kulia) akikagua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Nyakanazi, wakati wa ziara ya kukagua kituo hicho na njia ya kusafirisha umeme kutoka Mradi wa Rusumo hadi kituo cha Nyakanazi, Julai 6, 2022, mkoani Kagera.
Na Zuena Msuya, Kagera
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amewahakikishia wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Mwezi wa Agosti mwaka huu, mkoa huo utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa.
Mramba alisema hayo baada ya kukagua na kuona maendeleo y...
Read More