Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha Lori lenye thamani ya Shilingi milioni 110 baada ya kulikabidhi kwa kikundi cha vijana wa kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa ili walitumie katika mradi wao wa kufyatua matofali. Alikuwa katika ziara ya kikazi wilayani humo, Julai 8, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua lori alilolikabidhi kwa kikundi cha vijana cha Mandawa wilayani Ruangwa akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo, Julai 8, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack na kulia ni Mkurugenzi Mte...
Read More