Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Uchunguzi wa tokio la moto uliounguza Soko Kuu la Kariakoo baada ya kupokea taarifa ya Kamati hiyo kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Julai 27, 2021.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa tukio la moto uliounguza Soko Kuu la Kariakoo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo CP Liberati Sabas kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Julai 27, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya...
Read More