Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Julai 13, 2022 akisaini kitabu cha maombolezo wakati aliposhiriki kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Dkt. Gideon Juma Safari Shoo, aliyefariki dunia Julai 9, 2022
Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Julai 13, 2022 akizungumza wakati aliposhiriki kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Dkt. Gideon Juma Safari Shoo, aliyefariki dunia Julai 9, 2022
Read More