[caption id="attachment_6309" align="aligncenter" width="720"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe akisalimiana na mchezaji Wayne Rooney wa timu ya Everton ya Uingereza mara baada ya kikosi hicho kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Everton inatarajiwa kushuka dimbani kesho kwenye uwanja wa Taifa kumenyana na timu ya Gor Mahia ya Kenya mchezo ulioandaliwa na kampuni ya SportPesa.[/caption]
Na. Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt...
Read More