[caption id="attachment_6637" align="aligncenter" width="621"] Mwenyekiti Mteule wa Kamati ya Kuchunguza Mkataba wa Ubia baina ya TBC na Kampuni ya Startimes, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi[/caption]
Na. Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ameunda Kamati ya wajumbe kumi itakayoongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi, kuchunguza ufanisi katika mkataba baina ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na Kampuni ya Star Times....
Read More