[caption id="attachment_4324" align="aligncenter" width="800"] Kamishna Msaidizi katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Simon Panga, akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi ya Idd El Fitri kwa niaba ya Rais Dk. John Magufuli kwaVituo vya Yatima na Makundi Maalumu katika Maabusu ya Watoto Dar es Salaam, leo.[/caption]
Na. Lilian Lundo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa zawadi ya Idd El Fitri zenye thamani ya shilingi 10,922,000 kwa vituo 9 vya Mkoa wa Dar es Salaam, vituo 2 v...
Read More