Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma, Mei 24, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, bungeni jijini Dodoma, Mei 24, 2022. Kutoka kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Najma Giga na Mbunge wa Viti Maalum Mjini Magharibi, Khadija Aboud.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (katikati) kwenye viwanja vya B...
Read More