Muonekano wa Kivuko cha kisiwa cha Rubondo, Kivuko kitakachofanya safari zake kutokea Kasenza-Chato kuelekea Kisiwani Rubondo ikiwa ni juhudi zakufungua utalii Kanda ya Ziwa.
[caption id="attachment_53459" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi, John Kijazi akiwa na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani,Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constatine Kanyasu,, na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel wakiwa kwenye kivuko wakielekea Kisiwani Rubondo[/caption]
[caption id="attachment_5345...
Read More