[caption id="attachment_53533" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augistino Lyatonga Mrema akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka huu 2020.[/caption]
Na Mwandishi Wetu,
MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party, Augustino Mrema amesema chama hicho kinaendelea na msimamo wake wa kumuunga mkono, Rais Dkt. John Magufuli kuwa mgombea wake wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Rai...
Read More