[caption id="attachment_53626" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenister Mhagama. (Picha kutoka Maktaba)[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Jenister Mhagama anatarajiwa kufungua kikao cha siku mbili baina ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi na viongozi wa kitaifa wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Read More