Na Mwandishi Wetu.
Siku moja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza kupitiwa upya kwa sheria za madini, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Abdallh Safari, amemfananisha Rais huyu na aliyewahi kuwa Rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkurumah na Waziri Mkuu wa kwanza wa Kongo, Patrice Lumumba kutokana na juhudi binafsi anazofanya kutetea rasilimali za nchi
Profesa Safari ameaongea hayo ofisini kwake leo alipofanya mahojiano maalumu na Idara ya Habari-Maelezo kuto...
Read More